BUKOBA: DC AAGIZA MITEGO YA RADI KUWEKWA MASHULENI

NA NYEMO MALECELA – KAGERA MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Deodatus Kinawilo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba, Solomon Kimilike kuweka mitego ya radi kwenye shule za msingi, sekondari na ofisi za Taasisi za Umma ili kuepusha kupoteza maisha ya wanafunzi wengi. Kauli hiyo imetolewa na Kinawilo kwenye kikao cha baraza la madiwani la kipindi